NO NEED FOR VISA TO ENTER SOUTH AFRICA ANY MORE
nina furaha kuwaletea habar njema kuwa jana tarehe 27 october 2010,mheshmiwa balozi wa africa kusini na mkuu wa kitengo cha viza cha ubalozi huo wamesaini mkataba kuwa from november 2010 hakuna tena visa ya africa kusini na tanzania,zimefutwa rasmi.
No comments:
Post a Comment