Saturday, March 12, 2011

Hali halisi ya Loliondo kwa Babu!


Kwa wale wanaotaka kwenda Loliondo, this are the facts
·         Loliondo is 400 Km from Arusha Town and its rough road
·         Long queues may take a week to be attended.
·         You need atleast two weeks of leave to complete your journey.
Inabidi uongee na HR uchukue likizo ambayo unaweza kuiongeza kutegemea na foleni

See below:



Mti wa Mugariga ambao hutoa dawa

Dawa Inachemka

Dawa Tayari kwa kunywewa

Dawa Ikigawiwa




Babu akihojiwa na mwanahabari

inayoonesha namba za usajili SM, ni mali ya manispaa ya Arusha !!!!!!!




Mapumziko baada ya kupata Dawa


1 comment:

Anonymous said...

Pleasant Post. This enter helped me in my college assignment. Thnaks Alot