Mwenyekiti wa kamati ya mazishi
akainuka na kuanza kusema "kinachofuata sasa ndugu
wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya
marehemu tuliyemzika hapa leo. karibu ndugu uliyeandaliwa
kwa shughuli hiyo"
Ifuatayo ni historia fupi ya
> marehemu tuliyemlaza ktk nyumba ya milele.
> Marehemu alizaliwa juu ya mti ambapo
> mzazi wake alijihifadhi baada ya kukimbia mafuriko miaka 26
> iliyopita, hakubahatika kupata kazi ya
> maana japo alisoma mpaka kidato cha
> tano, aliamua kuacha shule mwaka juzi baada ya kuona elimu
> haina mpango kwake. marehemu alikuwa kero kwa familia yake
> hasa kwa tabia yake chafu ya udokozi wa mboga, uongo,
> uvutaji bangi, ubakaji wa mifugo na baadae
> ushoga.
>
>
> Mimi binafsi mjomba wake
> nimefurahishwa sana na kifo cha marehemu huyu kwani
> alishawahi kunipakazia kuwa nimekufa kwa kipindu x2 kiasi
> kwamba ndugu wote wakakusanyika na kunililia
> msiba.
>
> Mtoto alitutia hasara sana kwani
> alikuwa mwizi wa vitu vya ndani na pesa! pia tumepoteza
> gharama kibao kumsomesha lakini aliishia kuwa
> shoga
> tangu tarehe 06/04/99. marehemu
> hakuugua bali kifo chake ni cha kujitakia kwani kajiua baada
> ya kukosa nauli ya kwenda Mombasa kuhudhuria onyesho la
> vikundi 3 vya mduara. Kwa niaba ya familia, wazazi na ndugu
> wa marehemu tunatoa pongezi kwa Mungu kwa kutupunguzia
> kero.
> asiilaze roho ya marehemu peponi
> wala
> asimpumzishe, kama kuna mkong'oto huko ampe
> kiaina

2 comments:
hiyo kali
nimeipenda japo haipo kwenye ubinaddam zaidi
Post a Comment