Saturday, April 30, 2011

Kichekesho!

Watoto walikuwa wanacheza,mara mwenzao akaanza kulia,akapita mtumishi wa mungu akamuuliza;WALIA NN?
mtoto akajibu:natafuta yeboyebo zangu,kuna mtu amezichukua..!
mtumish wa mungu akamwambia:POLE,NYAMAZA MWACHIE MUNGU TU,
mtoto akamjibu: MUNGU HAZIMTOSHI ZILIKUWA NDOGO SANA

No comments: