Monday, April 18, 2011

Shamba linauzwa!


Dear friends,
Shamba lenye ukubwa wa heka mmoja linauzwa .Lipo maeneo ya Kingazi,ni mbezi mwisho ,unaelekea eneo linaitwa malamba mawili njia panda ya kwenda Kifuru.Kutoka Mbezi mwisho kuchepuka barabarani ni km 3 kwenda shule ya msingi Kingazi.
Bei yake ni milioni 8 na kuna majadiliano.
Piga simu no 0654068556,0714011822.Mama Mbanyi au mimi.
Let's do bussines!

1 comment:

Anonymous said...

oky tumekupata,ni heka ngapi?