Bhoke, presenter wa TV nchini anatarajiwa kuingia kwenye Jumba la BigBrother kuiwakilisha BONGO ktk mchezo huo unaotarajiwa kuanza leo Jumapili na kuishi humo ndani kwa siku 91 akiwa na washiriki wengine kutoka nchi 13 zikiwemo;Angola, Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Mozambique, Namibia, Nigeria, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe.
No comments:
Post a Comment