Monday, May 2, 2011

Osama bin Laden azikwa baharini



Marekani imesema mwili wa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden, umezikwa baharini baada ya kuuwawa katika operesheni iliyoendeshwa na wanajeshi wake nchini Pakistan.

No comments: