SOMA MSTARI WA KWANZA KWA MAKINI. "MUNGU akikupa mtihani wowote ule, basi atakuwezesha kuukabali mtihani huo". Nyakati za furaha, mtaje MUNGU.Nyakati za matatizo, muombe MUNGU. Nyakati za utulivu, muabudu MUNGU.Nyakati za maumivu,mtegemee MUNGU. Kila wakati, mshukuru MUNGU. |
|
|
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment