Tuesday, November 22, 2011

STILL NO ANSWERs!


Last dayz vyombo vya habari viliripoti kuwa Mh. Zitto aliumwa malaria (vijidudu 150),serikali ikampeleka India kwa matibabu,ni jambo jema sana kuonyesha inajali kiasi gani afya,but take tym to thnk abt these questions kisha ujijibu mwenyewe kimyakimya.

Maswali:
1.     Kama hospitali ya Taifa haina uwezo wa kutibu malaria, je inauwezo wa kutibu nini?
2.     Kama hata wagonjwa wa malaria wanaanza kupelekwa india kwa matibabu, watanzania wangapi watapelekwa?
3.     Kauli mbiu ya Malaria haikubaliki ni ya kweli? Ni ya watanzania au ni ya watu wa marekani?
4.     Mwisho, Uchumi wa Tanzania unajenga uchumi wa india kwa kiasi gani?
Basi Muhimbili ni Hosptali ya Rufaa (kupeleka India) kwa sababu haitibu badala yake inakata rufaa tu.
Huo ni mtazamo wangu tuu!!!

No comments: