Mume bandidu.
Mume na mke wameingia hotel ya bei ghali.
Mume: Wife unakula nini?
Mke: Baby utakachokula na mie hichoX2.
Mume: Mhudumuu!
Mhudumu: Naam mkubwa, unaorder ki2 gani?
Mume: Chips na kuku sahani 2 bei gani?
Mhudumu: 65,000/=
Mume: Inakuwa na kachumbari?
Mhudumu: Ndio mkubwa.
Mume: Kachumbari nayo bei gani?
Mhudumu: Kachumbari bure boss.
Mume: Basi 2naomba kachumbari sahani 2!
No comments:
Post a Comment