Kila aitazamae kesho yampasa kwanza aimalize leo.! Acha nikudokeze juu ya maisha ya leo: 1) Ishi kwa UPENDO usio na unafiki(Usipretend kwamba ww ni mwema kwa kila mtu, na isiwe kazi yako ni kuchafua wenzio waonekane hawafai). 2) Ishi na FURAHA isiyo na mipaka. 3) Ishi kwa AMANI na kila Mtu. 4) Usiweke MAMBO yako wazi kwa kila Mtu. 5) jiheshimu Kwani, HESHIMA yako inatokana na jinsi ulivyo. 6) kuwa MVUMILIVU Katika kila jambo ili kufikia mafanikio. 7) weka MSAMAHA mbele kwa kila anaekukosea na unaemkosea. 8) MISUKOSUKO ni sehemu ya maisha na ndio hatua ya kuvuka ili kufanikiwa ktk MAISHA, hivyo usikate tamaa.
No comments:
Post a Comment